Mafunzo ya Msingi
Jifunze jinsi ya kuichunguza Biblia, kukariri Maandiko,
kuandaa shajara ya maombi, kutunza muda wako,
kuunda timu fanisi, kueneza imani yako, na zaidi...
Tafiti Tisa za Biblia zenye Changamoto
Vielelezo Saba vya Uanafunzi
Malengo ya Juma kwa Vikundi Vidogo
Kila Kitu Unachohitaji Ili Kuanza!
WWW.FASTMISSIONS.COM
Mafunzo ya Msingi
Maudhui ya Kozi
Mafunzo ya Msingi ya FAST ni hatua ya pili ya mchakato wetu wa mafunzo wenye sehemu tatu iliyokusudiwa kukusaidia kupokea, kuishi, na kisha kulipitisha Neno la Mungu. Hulenga kwenye ujuzi muhimu sana wa uanafunzi, ukikupatia dondoo makini za namna ya kuichunguza Biblia, kuomba, kukua katika utii, kueneza imani yako, na zaidi. Kadhalika utajifunza mkakati madhubuti unaohusika katika ule tume mkuu, na jinsi unavyoweza kujiunga wewe mwenyewe!
Kozi hii ina mafundisho ya majuma tisa. Kila somo linajumuisha malengo ya mafunzo ya vikundi vidogo, uchunguzi wa Biblia, aya teule za kukariri, vielelezo, na mapendekezo mengi ya kutendea kazi yenye manufaa. Vichwa vya mada katika mfululizo huu ni pamoja na:
1. Wito wa Kujitoa
2. Kesha la Asubuhi
3. Ahadi za Mungu
4. Kuingia Kazini
5. Upanga wa Roho
6. Uinjilisti Binafsi
7. Vikosi vya Waumini
8. Siri ya Kuzidisha
9. Maisha Yenye Malengo
Tafadhali tutembelee mtandaoni ili kupata nyenzo za ziada ikiwa ni pamoja na vidokezo vya kufundishia vya juma baada ya juma, nyenzo za matangazo, maswali, mitihani, vyeti, zana za kukariria, na mengi zaidi. Unaweza pia kuifanya kozi hii katika shule yetu ya mtandaoni: jifunze pamoja na wanafunzi kutoka ulimwenguni kote, uliza maswali, na kuwasiliana na mwandishi. Kwa maelezo zaidi, tafadhali nenda kwenye WWW.FAST.ST/BT-GIFT.
These resources are licensed for personal study by . Please do not distribute.
Copyright © 2026, FAST Missions, All rights reserved. WWW.FAST.ST